Doctor.O.Jay

Doctor.O.Jay Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Doctor.O.Jay, College & University, Luanda, Kisumu.

๐Ÿคด
27/02/2023

๐Ÿคด

21/02/2023

If you experience a combination of 2 or more of this symptoms, be worried of diabetes. Seek medical advice from your healthcare provider as soon as possible.
1. Increased thirst.
2. Frequent urination.
3. Deep and rapid breathing.
4.insects going after your urine.
5. A sweet smell in your breath.
6. Unexplained weight loss.
7. Increased hunger.

jay

08/12/2022

๐Ÿ™Žโ€โ™€๏ธNINI SABABU ZA HARUFU MBAYA UKENI (VAGINAL ODOUR)...

-Harufu mbaya ukeni ni tatizo linalowatokea Wanawake wengi sana na ni jambo ambalo linakosesha Furaha na amani kwa wanawake wengi.

๐Ÿ™Žโ€โ™€๏ธ๐Ÿ™Žโ€โ™€๏ธAsilimia kubwa ya wanawake wenye Changamoto hii, hupoteza kujiamini (comfortability) na wakati mwingine kujikuta hata kutokuwa katika mahusiano kabisa au kukutana na mwenza wake kutokana na Harufu kali (mbaya) inayotoka ukeni.

โžก๏ธ Sababu Kubwa ya tatizo hili ni uchafu unaotoka ukeni (Vaginal discharges) usio wa kawaida.
๐Ÿ‘‰๐ŸผKuna aina ya uchafu usio wa kawaida ukeni, aina hizi husababishwa na kuzaliana kwa kasi au ongezeko la bacteria k**a vile Funguses. Pia Ni dalili ya maambukizi ya Magonjwa ya zinaa k**a kaswende, kisonono n.k

*๏ธโƒฃ ZIPO SABABU/VYANZO VINGINE VYA TATIZO HILI k**a ifuatavyo;-
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Maambukizi katika via vya uzazi (P.I.D) na magonjwa ya zinaa (STDs&STIs)
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Mirija ya uzazi (fallopian tubes) kujaa uchafu.
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Fangasi sugu inayojirudia rudia
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ UTI sugu inayojirudia rudia
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Kuvaa nguo za kubana sana kwa muda mrefu yenye kupelekea mazingira ya Uke kuwa na joto sana.
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Kutumia baadhi ya pads ambazo hazipitishi hewa zenye kupelekea joto, Miwasho na kuzaliana kwa Fangasi na kukaa na pedi kwa muda mrefu. Hii inajumuisha matumizi yasiyo salama ya pads.
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Kutumia bidhaa za Vijisumu (antibiotics) kusafisha Uke i.e medicated soap na Aina mbalimbali za manukato ukeni.
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Kutokwa na uchafu kupita kiasi (excessive vaginal discharges)

Tatizo hili la harufu mbaya ukeni, huweza kuambatana na complications (Hali zisizo za kawaida) ZIFUATAZO;-

โžก๏ธ Maumivu makali chini ya kitovu (hasa wakati wa hedhi)
โžก๏ธ Mwanamke kupata Maumivu ya Nyonga (kiuno) na mgongo.
โžก๏ธ Kupata Miwasho mikali na Vipele vidogovidogo ukeni.
โžก๏ธ Kuhisi maumivu katika kibofu na wakati wa kukojoa.
โžก๏ธ Kuhisi maumivu katikati au baada ya kumaliza kujamiiana.
โžก๏ธ Kuwa na Uke Mkavu sana, kuishiwa uteute kwa haraka wakati wa kujamiiana.
โžก๏ธ Kupata michubuko na Uke Kuvimba (kuwa

04/12/2022

Hey friends๐Ÿ‘‹

Address

Luanda
Kisumu
001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Doctor.O.Jay posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share