Tanzanian Students' Union in Egypt - TSUE"

Tanzanian Students' Union in  Egypt - TSUE" Madhumuni ya Umoja wetu ni kuhakikisha maendeleo yanapatika kwa kushirikiana na wanachama wote.

27/05/2026
28/10/2025

KUTOKA K**ATI KUU T.S.U.E 2025-2026

Idara ya Elimu na Jamii

KUONDOKA KWA MWANACHAMA BAADA YA KUMALIZA MASOMO

Uongozi wa Wanafunzi unawataarifu wanachama wake wote kua, ndugu Mbarouk Khamiss Mbarouk anatarajia kusafiri leo tarehe 28 October 2025, kurudi Nyumbani Tanzania baada ya kuhitimu masomo yake katika Chuo Kikuu cha Az-har.

Aidha ndugu Mbarouk Khamis aliwahi kuhudumu kwenye chama kwa nafasi ya tume ya uchaguzi kwa zaidi ya miaka mitatu.

Umoja unamtakia safari njema na mafanikio mema uko aendako.

Umoja ni tunu yetu sote

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki T.S.U.E

Katibu habari
Ummusalamah Rashid

Ukafika wakati wakupata chakula kwa wageni wote😊
13/10/2025

Ukafika wakati wakupata chakula kwa wageni wote😊

Matukio mbali mbali ya kuapishwa Viongozi wa TSUE kwa mwaka wa 2025/2026
13/10/2025

Matukio mbali mbali ya kuapishwa Viongozi wa TSUE kwa mwaka wa 2025/2026

Mgeni rasmi Mwambata Elimu na Mkuu wa Diaspora Mhe: Rashid Haroun akitoa salamu za Mhe: Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa...
13/10/2025

Mgeni rasmi Mwambata Elimu na Mkuu wa Diaspora Mhe: Rashid Haroun akitoa salamu za Mhe: Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri

Rais wa Wanafunzi Mhe: Muhammad Mashaka Ngupe akitoa hotuba yake baada ya kuapishwa
13/10/2025

Rais wa Wanafunzi Mhe: Muhammad Mashaka Ngupe akitoa hotuba yake baada ya kuapishwa

13/10/2025

KUTOKA K**ATI KUU T.S.U.E 2025-2026

Idara ya Habari na mawasiliano ya nje

Kamati kuu kupitia idara ya habari inawajulisha wanachama wake Wote.

Kamati Kuu ilikaa Kikao chake cha kwanza siku ya jana na kuwateua wanachama Wawili kua Kamati ya Maadili kwa mujibu wa katiba yetu:.

Ndugu Ally Abdallah Athumani (Huba) Azhar University

Doctor Mahmud Idi
Cairo University

Pia Kamati inawahimiza wanachama wake kuwapa ushirikiano na mshikamano, ili kudumisha umoja tulioachiwa na waasisi wetu.

Umoja ni Tunu yetu sote

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki T.S.U.E

Katibu Habari
Ummusalamah kwangaya

KUTOKA K**ATI KUU T.S.U.E2025-2026 Idara ya Elimu na JamiiKUONDOKA KWA MWANACHAMA BAADA YA KUMALIZA MASOMO.Uongozi wa Wa...
11/10/2025

KUTOKA K**ATI KUU T.S.U.E
2025-2026

Idara ya Elimu na Jamii

KUONDOKA KWA MWANACHAMA BAADA YA KUMALIZA MASOMO.

Uongozi wa Wanafunzi wa Kitanzania Nchini Misri T.S.U.E

Unapenda kuwataarifu wanachama wake wote kuwa mwenyekiti mstaafu Mhe. NGELULA MALIKI PATRICK anatarajia kusafiri leo tarehe 11 Oktoba -2025,kuelekea nyumbani Tanzania baada ya kuhitimu masomo yake katika Chuo Kikuu Az-har kitivo cha ustawi wa jamii.

Umoja unamtakia mafanikio mema huko anakokwenda.

Umoja ni tunu yetu sote
---------------------------------------
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki T.S.U.E
---------------------------------------
Katibu Habari T.S.U.E
Ummusalamah Rashid Kwangaya

TUME YA UCHAGUZI YA TSUE 2025/2026  Hii ndiyo Safu ya Uongozi wa Umoja wa Wanafunzi TSUE  kutoka Vyuo tofauti tofauti nc...
11/10/2025

TUME YA UCHAGUZI YA TSUE 2025/2026

Hii ndiyo Safu ya Uongozi wa Umoja wa Wanafunzi TSUE kutoka Vyuo tofauti tofauti nchini Misri

Mwenyekiti: Nd.Muhammad Mashaka Ngupe

Katibu Mkuu:Nd Arqam Bakari

Katibu fedha: Nd.Rajabu Kwangaya

Katibu Elimu: Karimu Kilimo

Katibu Jamii: Nd. Mubarak Shambani Namkumbi

Naibu Katibu Jamii: Nd.Tharan Khalid Juma

Katibu Michezo: Nd Issah Juma

Katibu Habari: Nd Ummu Salama Kwangaya

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki TSUE

WAFWATAO NDIO WAGOMBEA WETU KWA NAFASI TOFAUTI TOFAUTI**KWA MWENYE PINGAMIZI AWASILIANE NA TUME YA UCHAGUZI**TUNATOA MAS...
08/10/2025

WAFWATAO NDIO WAGOMBEA WETU KWA NAFASI TOFAUTI TOFAUTI*

*KWA MWENYE PINGAMIZI AWASILIANE NA TUME YA UCHAGUZI*

*TUNATOA MASAA 24 KUANZIA SASA MPAKA KESHO MUDA K**A HUU TUTAFUNGA MILANGO YA PINGAMIZI

Address

Cairo

Telephone

+201104573283

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzanian Students' Union in Egypt - TSUE" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The University

Send a message to Tanzanian Students' Union in Egypt - TSUE":

Share