Libaration of Mindset

Libaration of Mindset Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Libaration of Mindset, College & University, Woking.

Katika maisha hakuna rafiki wa kudumu😄 kwani kila mtu unayekutana naye amepangiwa na mungu kusudi lake kwakošŸ¤”na kusudi l...
23/09/2021

Katika maisha hakuna rafiki wa kudumu😄 kwani kila mtu unayekutana naye amepangiwa na mungu kusudi lake kwakošŸ¤”na kusudi linapotimia Basi huondoka na kukuacha K**a alivyokukutašŸ‘‹ kwa hiyo usihudhunike kwa kumpoteza ila shukuru kwa Yale ulojifunza kwakešŸ™ na pia ishi vyema na kila mmoja kwani hujui hatima yako unaifikiaje😄 epuka kudharau watu unaowajua na usiowajua, kwani watu hao umekutana nao kwa kusudi maalum na sio bahati mbayašŸ˜Ž hakikisha maarifa ndo kitu kinachoongezeka kila siku 😊
by Mr T The CEO of LIBARATION OF MINDSET CHANNEL šŸ’“ attitude # meditation #

Address

Woking

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Libaration of Mindset posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share