28/10/2023
Turudi kwa vitabu,kuna huyu msichana nilipenda sana after nimemaliza class 8,(gutanwa)kevo alikuwa beshty pale akanipiga chocha nikaingiza msichana box (she was a stolen girlfriend from mwiji mwingine)😅 ndio huyu msichana akaingia box,nayo mistari sikuwa nayo mimi huyo tukaingia highschool lucky enough nikaingia boarding yeye akaenda day school,Wacha nikuambie maina 😅mimi nikaamua kumpea moyo Yani ata dictionary nilikuwa naaandika "ann wa Kim" 😅mum was a photographer back in her young age akanipea camera mzee Ile ya "musibi" nikatumia hiyo camera Kaa love language nikapea huyo msichana eti akae nayo 😅😅 weee huyu my girlfriend angepitia kwetu tu aone kwetu ndio atosheke ata k**a siyuko home 🥺nani Sasa alimroga,ningeenda kumuona every evening wakati Niko home, remember hatuna simu 😅it was a Guess work Hadi kupatana,angenipeleka sitting room hapa natengenezewa coffee ☕ waaa nani alimroga 😅😅kumbe nilichelewa na ukweli chelewa chelewa upate mwana sio wako 😂 aaa alipewa mimba na hii time nilikuwa Nishapanga wedding in my mind 😂nitawaambia vile pia girlfriend wa pili alipata ball.after kujuana for two days 😂@h@followers@highlightDenis Kiogora DmkHilary Kimathi the story tellerSamsung